Kutana na kijana Victor ambaye hana mikono yote miwili lakini ni mwanakandanda hodari
16th March, 2016
Msemo wa hujafa hujaumbika huenda kuwa rahisi kuusema kuliko kuusadiki.lakini kwake kijana Victor kutoka kaunti ya Narok ambaye hana mikono yote miwili ameushangaza ulimwengu, kwa kujikubali. Yeye ni mwanakandanda, mwanavoleboli, kiranja wa shule, wa darasa na wa michezo.anafanyaje? Lofty matambo alizuru shule asomayo victor na hii hapa tarifa yake.