×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtu mmoja auawa na wanne kujeruhiwa katika mzozo wa shamba, Njoro kaunti ya Nakuru

14th March, 2016

Mtu mmoja amefariki huku wanne wakipata majeraha ya mishale baada ya makundi 2 kuzozana katika shamba lenye utata la Ngongori sehemu ya Njoro kaunti ya Nakuru. Kulingana na kaimu mkuu wa polisi sehemu ya Njoro Janet Wasike, ghasia hizo zilianza baada ya jamii ya Waogiek kumshambulia mmiliki wa shamba aliyekua akilima.
.
RELATED VIDEOS