×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Duale akosa imani na tume ya IEBC baada ya uchaguzi mdogo wa Malindi

13th March, 2016

Tukiwa tungali kwenye masuala ya siasa na uchaguzi, mbunge wa Garissa mjini Aden Duale sasa anaitaka tume ya iebc kujiuzulu kwa kile anachokitaja kuwa usimamizi mbaya wa uchaguzi mdogo huko malindi. Duale ambaye pia ni kiongozi wa wengi katika Bunge la taifa, amedai kwamba IEBC ilishindwa kuthibiti visa vya utoaji rushwa kwenye uchaguzi huo ambapo chama cha ODM kilishinda. Alidai kwamba matukio ya huko malindi ni picha halisi ya namna ambavyo huenda mambo yakawa katika uchaguzi mkuu ujao
.
RELATED VIDEOS