x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Afisa mmoja wa IEBC akamtwa Nyeri akihamisha wapiga kura

12, Mar 2016

Polisi huko mweiga, katika kaunti ya Nyeri wanawazuilia watu 13 miongoni mwao mwakilishi wa wadi katika kaunti ya laikipia na afisa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka kwa kuwahamisha wapiga kura hadi katika kaunti ya Laikipia. mshukiwa huyo alikamatwa na polisi baada ya kupashwa habari na wananchi waliolalamika kuwa washukiwa hao walikuwa wakiwahamisha wapiga kura kinyume cha sheria. Afisa mkuu wa polisi kieni magharibi John Kemboi aliyathibitisha na kusema washukiwa hao walipatikana nyumbani kwa bi mmoja kwa jina Mary Wanjiru ambapo walimpata afisa huyo wa iebc na daftari la wapiga kura na mashine ya BVR.

Feedback