x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mbiu ya KTN 12 Machi 2016 - Kibunguchi ataka KNEC Ivunjiliwe mbali

12, Mar 2016

Kufuatia taarifa kuwa wizi wa mitihani ya KCSE wa mwaka jana ulifanyika, mbunge wa Likuyani Enoch Kibunguchi ametoa wito wa kuvunjiliwa mbali kwa baraza la mitihani la kitaifa knec. Kibunguchi alilalama kwamba matokeo mabaya ya shule eneo bunge lake yalichangiwa na ukosefu wa wizi. Sasa ametishia kuongoza mchakato wa kuwaondoa maafisa wa KNEC waliohusika kwa wizi huo. Waziri wa elimu Fred Matiang’i alikiri kwamba wizi wa mitihani uliongezeka kwa asili mia 70 kwenye mtihani wa kcse mwaka 2015

Feedback