Ligi kuu ya kandanda
11th March, 2016
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya kandanda humu nchini gor mahia watakua wakisaka kupata ushindi wake wa kwanza msimu huu watakapochuana na City Stars siku ya jumamosi . Kwenye mechi nyingine timu ya Afc Leopards itakua ikisaka kusalia kileleni itakapo menyana na Chemilil siku ya jumapili.