Msururu wa raga mkondo wa Vancouver
11th March, 2016
Timu ya Kenya ya raga ya wachezaji saba itakua ikisaka kupanda katika jedwali kwenye mkondo wa sita wa msururu wa raga duniani mjini Vancouver Canada. Kenya imejumuishwa kwenye kundi moja na Samoa Ureno na viongozi wa msruru fiji.mechi ya kwanza ya kenya itakua dhidi ya ureno siku ya jumamosi.