×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Afya mbovu kisiwani chawatia shaka wakaazi wa Mageta

11th March, 2016

Katika bajeti ya Kaunti Ya Siaya ya kipindi cha mwaka 2015/2016, shilingi bilioni 1.6 zilielekezwa kwa idara ya afya. Lakini katika hospitali ya kisiwa cha mageta taswira ni ya upweke na taabu kwani hospitali hiyo haina dawa, wahudumu wa kutosha na vifaa vingine muhimu licha ya eneo hilo kuwa na idadi ya juu zaidi ya uambukizaji virusi vya HIV ikiwa ni aslimia 23.7 nyuma ya Homabay inayoongoza nchini na asilimia 25.7.
.
RELATED VIDEOS