x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Dkt Karanja Kibicho awaonya machifu wawili kuhusu pombe haramu

10, Mar 2016

Baada ya kuwaachisha kazi machifu saba katika kaunti ya Meru hapo jana,katibu katika wizara ya masuala ya ndani mwa nchi leo amefika Nyeri na kuibua wasiwasi mwingi miongoni mwa machifu. Dkt Karanja Kibicho amewasili kuendeleza vita dhidi ya pombe haramu ambapo ameongoza oparesheni ya kumwaga pombe katika maeneo mbali mbali. Machifu wawili walipewa onyo kali mbele ya raia waliofika kuhudhuria mkutano wa hadhara katika eneo la witemere.

Feedback