Wakenya waikashifu hafla ya “Project X” inayotukuza ngono wazi wazi
9th March, 2016
Ikiwa zimesalia siku smbili na kipande ifike siku ya hafla iliyowatishia si wazazi pekee bali pia walinda sheria jijini Nairobi, hafla ya Project X inayotukuza ngono wazi wazi, hisia za kuukashifu mpangilio huo bado zinazidi kumiminika.