x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanawake Embu wamkashifu gavana Wambora kwa kumdhalimu mbunge Cecily Mbarire

08, Mar 2016

Ulimwengu mzima ukiadhimisha siku ya wanawake, baadhi ya wanawake katika kaunti ya Embu wamemkashifu gavana wa kaunti hiyo Martin Wambora kwa kutoa matamshi wanayosema yalimkosea heshima mbunge wa Runyenjes Cecily Mbarire. Haya yanajiri huku mada kuu ya siku ya wanawake mwaka huu ikiwa ni kuhakikisha usawa wa jinsia.

RELATED VIDEOS


Feedback