Afisa mkuu wa Quoradrum Mukuria Ngamau ahojiwa na kamati ya bunge kuhusu sakata ya pesa ya vijana
8th March, 2016
Kamati ya bunge kuhusu uwekezaji imempiga msasa afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya Quoradrum Limited Mukuria Ngamau iliyopokea zabuni ya shilingi milioni 180 kufanikisha mradi wa fedha kwa vijana. Mukuria ngamau alikiri kuwa hapakuwepo na zabuni na isitoshe mawasiliano yalikuwepo kati yake ba afisa mkuu mtendaji wa fedha za vijana Catherine Namuye.