x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chama cah KANU kuanzisha uchunguzi wa kina kuhusu uchaguzi mdogo wa Kericho

08, Mar 2016

Chama cha KANU kimesema kitaanzisha uchunguzi wa kina kuhusu uchaguzi mdogo wa Kericho huku kikidai kwamba ulikumbwa na visa vya udanganyifu mwingi. Katibu mkuu wa KANU Nick Salat, amesema kwamba udanganyifu ulioshuhudiwa kwenye uchaguzi huo wa jana unaonyesha jinsi uchaguzi mkuu wa mwaka ujao utakavyotatizwa na serikali ya Jubilee. Msimamo wa KANU umetolewa saa chache baada ya washindi kwenye uchaguzi kupewa vyeti Kericho na Malindi.

RELATED VIDEOS


Feedback