×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtoto wa miaka 4 anusurika kifo baada ya kuhusika katika ajali iliyowaua watu 7 papo hapo Salgaa

8th March, 2016

Mtoto wa kike wa umri wa miaka 4 alinusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani iliyowaua watu saba papo hapo katika kivuko cha Ngata Salgaa Nakuru. Mtoto huyo ambaye anatatizika kuzungumza tangu ajali hiyo amelazwa katika hospitali moja mjini Nakuru akiuliza maswali kuhusu walipo wazazi wake.
.
RELATED VIDEOS