Majina ya baadhi ya wapiga yakosekana katika sajili ya wapiga kura Kericho
7th March, 2016
Huku wapiga kura wakijitokeza kushiriki katika shughuli hiyo kericho, baadhi yao walikosa kutekeleza haki yao pale waliposhangazwa na kukosekana kwa majina yao katika sajili ya wapiga kura.