×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanasiasa wanaswa wakiwahonga wapiga kura Malindi

7th March, 2016

Uchaguzi mdogo katika eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi umetatizwa kwa madai ya wanasiasa kuwahonga wapiga kura na hitilafu nyenginezo. Mbunge wa Mwea Peter Gitau mapema alikamatwa baada ya kuhusishwa na ununuzi wa wapiga kura. Aidha mbunge wa Kabete Ferdinand Waititu amehusishwa kwenye madai ya kutatiza uchaguzi wa Malindi.
.
RELATED VIDEOS