x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais Mastaafu Moi ahimiza serikali izingatie kuboresha elimu ya shule za msingi

06, Mar 2016

Rais mstaafu Daniel Toroitich arap Moi ametoa wito kwa serikali kuhakikisha kuwa elimu katika kiwango cha shule za msingi imeboreshwa kwa kiasi kikubwa. Akizungumza kwenye hafla ya kuwatuza wanafunzi katika shule ya upili ya Moi Kabarak, Mzee Moi pia aliwataka wabunge kuzingatia elimu kupitia pesa za ustawi za maeneo bunge. Aliipongeza shule ya upili ya moi kwa kupata matokeo mazuri katika matokeo ya mtihani wa kitaifa wa KCSE 2015

RELATED VIDEOS


Feedback