×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta wa Meru Kiraitu Murungi atangaza kuwania ugavana wa Meru

6th March, 2016

Seneta wa kaunti ya Meru Kiraitu Murungi, ametangaza rasmi kuwa atawania kiti cha ugavana kaunti ya Meru. Seneta Kiraitu na kundi lake walikipigia debe chama cha jubilee wakati kauli yake ikionekana kuibua hisia tofauti huku pande tofauti zikijigawanya katika kinyanganyiro cha uhaguzi wa mwaka ujao. Hussein Mohammed anaarifu
.
RELATED VIDEOS