×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi Kamilifu Michezo Machi 5 2016

5th March, 2016

Timu ya kenya raga ya wachezaji saba ilianza mkondo wa las vegas katika msururu wa raga duniani kwa vishindo baada ya kushinda mechi zakwe mbili za kwanza kwe nye kundi A. Shujaa ilipata ushindi wa alama 24-21 dhidi ya urusi kabla ya kulaza ureno alama 38-0 kwenye mechi ya pili. Kenya itachuana na New Zealand saa nne na dakika 54 usiku wa leo.
.
RELATED VIDEOS