Msururu wa raga kuandaliwa kesho Las Vegas
4th March, 2016
Matokeo ya kikosi cha kenya ya raga wachezaji saba imezidi kupata nafuu na kibarua cha kenya wikendi hii ni katika awamu ya tano ya msururu wa raga kule Las Vegas. Kenya ipo katika kundi a dhidi ya ureno, urusi na New Zealand na kikosi cha Benjamin Ayimba kinatarajia kungaa hata zaidi.