x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Idadi ya Wakenya wanaojisajili kama wapiga kura ni chache mno kinyume na matarajio ya tume ya IEBC

02, Mar 2016

Idadi ya Wakenya wanaojisajili kwenye daftari kuu la wapiga kura ni chache mno kinyume na matarajio ya tume ya IEBC. Licha ya juhudi za machifu na viongozi wengine kujitokeza na kuwahamasisha wakenya kujisajili, maafisa wanaowasajili wakenya kwenye vituo wanadai kuwa baadhi ya vijana wanataka kujisajili lakini hawana vitambulisho vya kitaifa Ali Manzu alikuwa katika ukanda wa magharibi ya Kenya na kutuandalia taarifa aifuatayo.

Feedback