×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Punda 16 wapatikana wamechinjwa katika kijiji cha Kiambogo mji wa Longonot

29th February, 2016

Takriban punda 16 wamepatikana wamechinjwa katika kijiji cha Kiambogo, karibu na mji wa Longonot. Kisa hicho kimevutia mshangao mkubwa miongoni mwa wenyeji ambao wanahofia kuwa huenda wameuziwa nyama ya punda hao wanaoaminika kuchinjwa usiku wa kuamkia leo.
.
RELATED VIDEOS