Mwanamke anayedaiwa kumuua mumewe kwa kumkata uume Mombasa afikishwa kotini
29th February, 2016
Mwanamke anayedaiwa kumuua mumewe kwa kumkata uume mtaani Bamburi jijini Mombasa amefikishwa kotini. Pauline mukiru hata hivyo hakuweza kuzuiwa kwa siku 14 kama sheria inavyotaka akidai kuwa mgonjwa.