x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uwiano nchini Kenya Miaka 8 baada ya machafuko ya 2008

27, Feb 2016

Miaka minane iliyopita wakati sawa na huu taifa la Kenya lilikuwa katika hali mbaya. Jamii za kenya zilikuwa zimegawanyika kwa makabila yenye chuki yakiongozwa na roho wa mauaji na dhuluma. Ilikuwa imesalia siku moja kwa mazungumzo yaliyoongozwa na aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa Koffi Annan kupata ufanisi. Baada ya mkataba wa maelewano kuafikiwa siku iliyofuata suala moja liliibuka; haja ya kukabili chuki za kikabila ili kupata utangamano. Kwenye awamu ya kwanza ya kisengere-nyuma cha mwaka 2008 Mashirima Kapombe anaangazia suala hilo la uwiano nchini kenya

Feedback