Mkondo wa kwanza wa mashindano ya magari yaandaliwa Kajiado
27th February, 2016
Dereva kutoka Finland Tapio Lokanen ndiye mshindi wa mashindano ya kitaifa ya mbio za magari Mkondo Wa Kajiado. Lokanen aliandikisha muda wa saa moja sekunde 17 nukta 42. Ian Duncan alimaliza wa pili huku bingwa mtetezi Jaspreet Chath akimaliza wa tatu.