×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

IEBC: Walemavu wachache wamejitokeza kujisaliji

27th February, 2016

Usajili wa watu wanaoishi na ulemavu katika Kaunti Ya Narok umekumbwa na changamoto hasa kwa kuwa vituo vya usajili vimekuwa vikihamishwa siku baada ya siku. Kufikia sasa idadi ya walemavu waliojisajili ni ndogo. Mwenyekiti wa baraza la walemavu David Ole Sankok ametoa wito kwa IEBC kutafuta njia mbadala za kuwasajili walemavu.
.
RELATED VIDEOS