Sakata ya ufisadi ya NYS yatishia kusambaratisha mrengo wa Jubilee
26th February, 2016
Majibizano yameendelea miongoni mwa wanasiasa wa jubilee kufuatia hati ya kiapo ya aliyekuwa waziri Anne Waiguru. Seneta wa Elgeyo Marakwet na mbunge wa Nandi Hills wameendeleza ubishi kwenye mkutano mmoja katika hafla moja ya mazishi katika kaunti ya Nandi.