x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maendeleo Transnzoia: Umaskini ni wa viwango vya juu

26, Feb 2016

Viwango vya umaskini katika kaunti ya Trans-Nzoia vinagonga asilimia 50 ya idadi huku asilimia 60 ya vijana wakiwa hawana kazi. kulingana na Gavana Patrick Khaemba, hali hii imelemaza harakati za maendeleo katika kaunti hiyo inayotambulika kote nchini kwa ukulima. Khaemba alikuwa akizungumza hapa jijini Nairobi katika mkutano na wanahabari na wanabiashara kuhusu kongamano la uwekezaji litakalofanyika katika kaunti hiyo kati ya tarehe 16 hadi 18 mwezi ujao.

RELATED VIDEOS


Feedback