×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta wa Pokot John Lonyangapuo amtaka Duale kujiuzulu

25th February, 2016

Viongozi wa kisiasa wamezidi kutoa kauli mbalimbali kuhusiana na sakata ya NYS ambayo inamkabili aliyekuwa waziri wa ugatuzi Anne Waiguru. Mbunge wa Gatundu kusini Moses Kuria amemuonya Waiguru dhidi ya kuwahusisha wanasiasa katika suala hilo. Naye seneta wa pokot magharibi John Lonyangapuo amemtaka kiongozi wa wengi Adan Duale kujiuzulu baada ya kutajwa na Waiguru.
.
RELATED VIDEOS