Gavana Kidero ampongeza rais Kenyatta kwa kuteuwa jopo la kuchunguza jaji Philip Tunoi
24th February, 2016
Gavana wa Nairobi Evans Kidero amempongeza rais Uhuru Kenyatta kwa kuteuwa jopo la kuchunguza madai yanayomkabili jaji Philip Tunoi. Kidero ambaye amedaiwa kutoa mlungula kwa jaji tunoi anasema hana shaka kwamba uchunguzi utakuwa ndio mwikozi wake na jaji Tunoi..