x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mradi wa NYS Kibera ulikuwa njama ya wizi wa mamilioni ya pesa, afichua shahidi kwenye sakata hiyo

23, Feb 2016

Huku mmoja wa washukiwa wa wizi wa fedha katika NYS akihojiwa leo na tume ya kupambana na ufisadi, habari fiche zimeendelea kuibuka kwenye sakata ya wizi wa fedha katika mpango wa NYS. Kikosi cha upekuzi cha KTN kimepata kauli za mwanamke mmoja aliyekuwa akifanya kazi katika idara ya usambazaji ya NYS. Mtumishi huyo anasema mradi wa NYS Kibera ulikuwa ni njama ya wizi wa mamilioni ya pesa

RELATED VIDEOS


Feedback