Aliyekuwa waziri wa ugatuzi Anne Waiguru ahojiwa na EACC kuhusiana na sakata ya NYS
22, Feb 2016
Aliyekuwa waziri wa ugatuzi Anne Waiguru ahojiwa katika makao makuu ya tume ya maadili na kupambana na ufisad kuhusiana na sakata ya NYS ya shilingi milioni 791.