x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Baadhi ya wafungwa wa gereza la Voi wabatizwa

21, Feb 2016

Zaidi ya wafungwa 25 wa gereza la Voi walibatizwa katika hafla ya kufana iliyoandaliwa na wachungaji waliowahubiria . Wafungwa hao ni wale waliokubali kuishi katika maadili ya kikristo . Usimamizi wa gereza hilo umekuwa ukishirikiana na viongozi wa makanisa waliowahubiria wafungwa hao.

RELATED VIDEOS


Feedback