Kenya itashiriki Olimpiki itakayo andaliwa nchini Brazil Mwaka huu
19th February, 2016
Mbali na raga na riadha, Kenya itawakilishwa katika mchezo wa ulengaji shabaha kutumia mshale na uta katika mashindano ya olimpiki yatakayoandaliwa mwaka huu nchini Brazil. Bingwa wa Afrika Shehzana Kuki Anwar ndiye atakayeipeperusha bendera ya Kenya katika mchezo huo.