×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hassan Wario: Serikali itahakikisha kenya inashiriki katika mashindano ya olimpiki

19th February, 2016

Serikali ya Kenya imetoa shillingi millioni 300 zitakazotumika na idara ya kupambana na utumizi wa dawa zilizopigwa marufuku maarufu kama adak. Waziri wa michezo Hassan Wario amedokeza kwamba serikali itahakikisha idara hiyo inafanya kila iwezalo kuhakikisha kwamba kenya inashiriki katika mashindano ya olimpiki.
.
RELATED VIDEOS