×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN yazidi kuvuma kwa kushirikiana na Bamba TV

18th February, 2016

Kuanzia sasa kampuni ya kupeperusha matangazo ya kidijitali ya bamba ni miongoni mwa taasisi zilizo chini ya mwavuli wa shirika la habari la Standard Group. Hii ni baada ya KTN kusaini mkataba na wakuu wa shirika la radio africa kuanzisha ushirikiano. Hatua hiyo itaongeza kiwango cha maeneo ambayo KTN imekuwa ikitizamwa kote nchini.
.
RELATED VIDEOS