×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wenyeji wa Kaskazini Mashariki kukosa kusajiliwa kutokana na kukosa vitambulisho

17th February, 2016

Huku shughuli ya kuwasajili wapiga kura ikiendelea nchini, idadi kubwa ya wenyeji wa kaskazini mashariki watakosa kusajiliwa kutokana na kukosa vitambulisho. Uchunguzi wa ktn leo umebaini kwamba wenyeji wengi wa dadaab kaunti ya garissa hawana vitambulisho. Chifu mmoja wa eneo la mpakani analalamika kwamba mtoto wake amenyimwa kitambulisho licha ya kuwa afisa wa idara ya utawala
.
RELATED VIDEOS