Taswira ya jamii zinazozurura barabarani bila makao rasmi almaarufu chokoraa nchini India
15th February, 2016
Unapowaona raia wa ki-esia hapa kenya taswira ya senti na utajiri inakujia. Lakini je, wajua kuwa nchini India yamo matatizo chungu nzima sawia na hapa Kenya? Na je, wajua India pia ina jamii zinazozurura barabarani bila makao rasmi almaarufu chokoraa? Mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali katika pita pita zake mjini Mumbai India alishuhudia hali hii haswa