Mhubiri anaswa akila oroda na mke wa wenyewe na kupelekea kifo ya mvulana wa miaka 16 Embu
15th February, 2016
Mvulana wa umri wa miaka 16 ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi katika kaunti ya Embu... Macharia Gichovi alipigwa risasi wakati polisi walikuwa wakijaribu kumnusuru mhubiri mmoja ambaye alikuwa akikabiliwa na umati kwa kumpata na mke wa wenyewe.