×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gor Mahia wacharazwa na CNAPS kutoka Madagascar katika mkondo wa kwanza wa CAF

13th February, 2016

Mabingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini gor mahia wameduwazwa kwa kufungwa mabao mawili kwa moja na CNAPS kutoka Madagascar katika mechi ya mkondo wa kwanza ya kinyang’anyiro cha klabu bingwa barani afrika. Kogalo hivi sasa wana kibarua kigumu kufuzu kwa raundi ya pili kwani itabidi wapate ushindi wa mabao mawili au zaidi katika mechi ya mkondo wa pili itakayogaragazwa ugenini tarehe 27 mwezi huu.
.
RELATED VIDEOS