Geoffrey Kamworor na Alice Aprot ndio washindi wa mbio za kitaifa za nyika za nchini
13th February, 2016
Geoffrey Kamworor na Alice Aprot ndio washindi wa Nyika. Bingwa wa dunia katika mbio za nyika Geoffrey Kamworor ndiye na Alice Aprot ndio washindi wa mbio za kitaifa za nyika za nchini. Kamworor alitwaa ushindi mbele ya mpinzani wake wa karibu Bedan Karoki. Alice aprot naye alitwaa ushindi wake mbele ya Beatrice Chemutai.