x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mshindi wa kwanza wa mchezo wa bahati nasibu- Betway, atuzwa

11, Feb 2016

Rodrique Koech ndiye mshindi wa kwanza wa shindano la golden goal kupitia mchezo wa bahati nasibu wa Betway. Koech mwenye umri wa miaka 27 na anayetoka katika kaunti ya kericho amejishindia safari ya Uingereza kutazama mechi kati ya Arsenal na West Ham uwanjani Upton Park mwezi Aprili. Koech amesema kuwa alijaribu mara kadhaa bila kufanikiwa na ushindi huo utampa fursa ya kutazama wachezaji ambao amezoea kuwaona kwenye runinga.

RELATED VIDEOS


Feedback