Ligi ya Kenya yaingia raundi ya 11
11, Feb 2016
Kinyanganyiro cha taji la Kenya cup wiki ya 11k inaratajiwa kuwasisimua wengi wanaoenzi raga nchini. Klabu ya impala inaongoza katika jedwali ikiwa na alama 41, wakiwa sawa na Kenya harlequins katika nafasi ya pili. Kutakuwa na michuano saba tofauti na labda kiongozi tofauti baada ya michuano hiyo.