×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwenyekiti wa tume ya huduma kwa polisi Johnstone Kavuludi akanusha madai ya hongo

10th February, 2016

Mwenyekiti wa tume ya huduma kwa polisi Johnstone Kavuludi, amejitokeza kupuuzilia mbali madai kwamba kamati yake inayochunguza maafisa wa polisi imekuwa ikipokea rushwa kutoka kwa baadhi ya maafisa. Na sasa Kavuludi amefichua kwamba barua hiyo iliotoka kwa mtoboa siri wa kitengo cha IPOA ni vitisho dhidi ya maisha yake.
.
RELATED VIDEOS