×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Elewa sharia: Usalama wa wapita njia katika vivukio vya miguu au footbridges

10th February, 2016

Kwenye mtindo unaohatarisha maisha ya watu katika vivukio vya miguu au footbridges, waendeshaji pikipiki sana za bodaboda sasa wameteka maeneo hayo na kuendesha pikipiki zao bila kujali usalama wa wapita njia. Vivukio vilivyoathirika pakubwa ni kama vya barabara za north airport na barabara kuu ya Mombasa maeneo ya embakasi pamoja na kile cha General Motors na kile cha Bellevue hapa Nairobi.
.
RELATED VIDEOS