Bunge larejelea vikao vyake na kuifanyia mabadiliko kamati ya shughuli za bunge
9th February, 2016
Bunge limerejelea vikao vyake na kuifanyia mabadiliko kamati ya shughuli za bunge huku maazimio ya kufanikisha baadhi ya miswada muhimu pamoja na safari ya uchaguzi mkuu ikikisiwa kuwa changamoto kuu katika kufanikisha shughuli za bunge.