×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

CORD kupinga mswada wa kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu mwaka ujao

9th February, 2016

Wajumbe wa mrengo wa CORD wamesema watapinga mswada wa kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu mwaka ujao. Wajumbe hao mapema leo wamefanya mkutano faraghani katika afisi ya Wiper eneo la Lavington kupanga mikakati ya kukabili makali ya wenzao kutoka Jubilee bungeni. Pia wametaka tume ya uchaguzi IEBC ihakikishe kila kituo cha kupiga kura kimepata vifaa vya kusajili wapiga kura.
.
RELATED VIDEOS