Mhuburi mahakamani kwa kumtapeli mwanamke Shilingi laki nne kwa madai ya kumponya saratani
8th February, 2016
Mhuburi mmoja amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke shilingi laki nne. Jamaa huyo Nathan Ochieng Oluoch anadaiwa kuchukua hela hizo kwa madai kwamba atamponya mwanamke huyo ugonjwa wa saratani.