×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Muranga Mwangi wa Iria afika mbele ya tume ya EACC

8th February, 2016

Gavana wa Muranga Mwangi wa Iria amefika mbele ya tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC. Iria anatuhumiwa kuwangaisha maafisa wa tume hiyo waliovamia makao yake wiki mbili zilizopita. Maafisa hao walivamia makao ya gavana Iria huko Thika kwa madai kwamba anahusika katika utumizi mbaya wa mamlaka,ufisadi na mapendeleo katika kutoa zabuni na ununuzi katika kaunti.
.
RELATED VIDEOS