×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maajabu ya Ulimwengu: Baba afanya mapenzi na mtoto wake wa kike Thika

8th February, 2016

Hebu tafakari, baba,kudaiwa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kike! Ndio vimbwanga vya walimwengu vilivyopelekea familia moja mjini Thika kaunti ya Kiambu, kuzozana hadharani baada ya kufahamishwa madai ya baba mzazi wa familia hiyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wake wa kike. Hii ni baada ya baba huyo kuripotiwa kupata utabiri kuwa mkewe alijiingiza kwenye ushirikina na hivyo basi kumfukuza.
.
RELATED VIDEOS